JUMUIYA YA WAZAZI YA CCM MKOA WA KILIMANJARO YAPANDA MITI 230
Mgeni
rasmi katika siku ya Jumuiya ya Wazazi ya ccm ya upandaji miti juzi katika mkoa
wa Kilimanjaro, ambaye ni Kaimu Katibu wa ccm mkoa wa Kilimanjaro, Miriam Kaaya
akipanda mti kuashiria kuzindua zoezi la upandaji miti kupitia jumuiya ya
Wazazi.
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Kilimanjaro, Daudi Mrindoko akipanda mti juzi
katika shule ya Sekondari ya Uchira iliyopo wilayani Moshi inayomilikiwa na
Jumuiya hiyo ikiwa ni maadhimisho ya jumuiya hiyo kupanda miti ambapo wamepanda
miti 230.
Katibu
wa Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Kilimanjaro, Hatibu Mnuwa akipanda mti katika
maadhimisho hayo ya upandaji miti kimkoa.
Mwenyekiti
wa Jumuiya hiyo wilaya ya Moshi Vijijini, Lyiatuu akipanda mti katika tukio
hilo.





Maoni
Chapisha Maoni