PICHA ZA MATUKIO YA ZIARA YA MWENYEKITI WA UVCCM MKOA WA KILIMANJARO
Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kilimanjaro Ivan Moshi akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuripoti katika ofisi ya chama wilaya ya Hai kuendelea na ziara yake ya kukutana na wajumbe wa baraza la wilaya hiyo.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha mapinzuri (UVCCM) mkoa wa Kilimanjaro Ivan Moshi (wa nne kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa baraza la vijana wilaya ya Siha.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Kilimanjaro Ivan Moshi akipokea taarifa ya jmoja wa Vijana wilaya ya Hai kutoka kwa katibu wa Umoja huo wilaya jana alipofanya ziara ya kuongea na wajumbe wa baraza.
Mjumbe wa Baraza kuu la Umoja wa vijana Taifa, Nice Munissi akizungumza katika kikao cha baraza la Umoja wa vijana wilaya ya Hai jana.

Maoni
Chapisha Maoni