PICHA ZA MATUKIO YA ZIARA YA MWENYEKITI WA UVCCM MKOA WA KILIMANJARO WILAYANI MOSHI VIJIJINI.
Mwenyekiti wa umoja wa Vijana mkoa wa Kilimanjaro, Ivan Moshi (watatu kulia) akifuatiwa na Mjumbe wa Baraza kuu la vijana Taifa, Nice Munissi, katibu wa vijana mkoa wa Kilimanjaro, Abdulrahim Hamid, katibu wa vijana wilaya ya Moshi vijijini, Ashura Kizigo na wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa vijana wilaya ya moshi vijini Hassan Hussein wakati katika picha ya pamoja na wajumbe wa baraza kuu la vijana wilaya ya moshi vijini.
Mwenyekiti wa umoja wa Vijana mkoa wa Kilimanjaro Ivan Moshi akizungumza na wajumbe wa baraza kuu la vijana wilaya ya moshi vijijini (hawapo pichana) leo ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake kukutana na wajumbe wa mabaraza yote ya wilaya mkoa wa Kilimanjaro.
Mjumbe wa Baraza kuu la vijana Taifa, Nice Munissi akizungumza na wajumbe wa baraza kuu la vijana wilaya ya Moshi vijijini leo.

Maoni
Chapisha Maoni