PICHA ZA ZIARA YA MWENYEKITI WA UVCCM MKOA KILIMANJARO WILAYANI MOSHI MJINI

 Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Kilimanjaro Ivan Moshi akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa baraza la vijana wilaya ya moshi mjini leo.

 Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Kilimanjaro Ivan Moshi akiwahutubia wajumbe wa baraza la Umoja huo wilaya ya Moshi mjini leo.
Katibu wa Umoja wa Vijana wa chama cha mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Kilimanjaro Abdulrahim Hamid akizungumza na wajumbe wa baraza la Umoja huo wilaya ya moshi mjini leo.

Maoni

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Ufahamu ugonjwa wa Ngiri ( Hernia) kiundani zaidi

Mama ajifungua mapacha wenye baba tofauti

UVCCM SIHA YAZINDUA KAMPENI YA KUGAWA TAULO ZA KIKE KATIKA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI